"Kamnyweso" Versuri
„Kamnyweso” are versuri în swahili limbă.
Sensul „Kamnyweso” provine din swahili limbă și în prezent nu este convertit în traducere în engleză.
“ KAMNYWESO LYRICS “
Lalala lala Lalala lala
Oooh Eeeh Mmmh
Nikikosa hii kitu najiona niko duru
Nikiikosa najiona niko zoba
Nikikosa hii kitu najiona kama sio mimi
( Sio mimi )
Ah Ah Kamnyweso ( Kamnyweso)
Kamnyweso ( Kamnyweso )
Ooh Kamnyweso ( Kamnyweso)
Kamnyweso ( Kamnyweso )
Mama Kamnyweso ( Kamnyweso )
Kamnyweso ( Kamnyweso )
Ooh Kamnyweso ( Kamnyweso)
Kamnyweso ( Kamnyweso)
Ah nikilewa zinashuka
Mh yanipanda mizuka
Waiter hebu muite chief cooker
Mana kunywa bila kula ntaumbuka
Wengine wanaita inzoga
Wengine wanaita mtungi
Mtungi uwo mtungi uwo
( Mtungi uwo mtungi uwo )
Unanipa vibe mtungi uwo
( Mtungi uwo mtungi uwo )
Haiyaa mtungi uweo mtungi uwo
( Mtungi uwo mtungi uwo )
Unaniondoa aibu mtungi uwo
( Mtungi uwo mtungi uwo )
Ah Ah Kamnyweso ( Kamnyweso)
Kamnyweso ( Kamnyweso )
Ooh Kamnyweso ( Kamnyweso)
Kamnyweso ( Kamnyweso )
Mama Kamnyweso ( Kamnyweso )
Kamnyweso ( Kamnyweso )
Ooh Kamnyweso ( Kamnyweso)
Kamnyweso ( Kamnyweso)
Connect With Natacha On:
Instagram: /
Facebook: /
Twitter: /
Tiktok: /
@natachaburundi?_t=ZM-8sIMTwK3pKw&_r=1